Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Afya ya Haji Manara yatetereka, mwenyewe adai amelishwa sumu na sio presha ya matokeo ya Simba

Monday 24-09-2018 09:00:02pm Bongo5


Baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ameshikwa na presha iliyopelekea kulazwa mkoani Shinyanga, hatimaye mwenyewe aweka wazi kinachomsumbua. Manara amesema kuwa alikula chakula chenye sumu, na ndio sababu iliyompelekea kulazwa na sio presha ya matokeo mabaya ya klabu yake kama inavyoandikwa mitandaoni. “Siumwi pressure wala moyo kama inavyoandikwa …The post Afya ya Haji Manara yatetereka, mwenyewe adai amelishwa sumu na sio presha ya matokeo ya Simba appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E