🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 05-01-2019 09:00:02am Bongo5
Aliyekuwa meneja wa Harmonize, Mr Puaz amejikuta akishambuliwa mtandaoni na mashabiki wa muimbaji huyo baada ya kueleza kwamba ameachana na msanii huyo baada ya pesa kumbadili tabia. Meneja huyo alidai wakati akianza kazi na Harmonize alikuwa ni kijana mstaarabu lakini kadri siku zilivyokuwa zikisonga, mwanamuziki huyo aliyekiri kuwa anajituma alianza kubadilika suala alilodai kuwa huenda …The post Aliyekuwa meneja wa Harmonize, Mr Puaz ashambuliwa kisa kauli ya ‘pesa imem-badili tabia Harmonize’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E