Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Aliyekuwa mpinzani mkubwa wa Barack Obama kwenye siasa za Marekani, Seneta John McCain amefariki dunia

Sunday 26-08-2018 09:00:02am Bongo5


Aliyewahi kuwa mpinzani mkubwa wa Barack Obama kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi wa urais nchini Marekani mwaka 2008, Seneta John McCain, amefariki dunia alfajiri ya leo Agosti 26, 2018 . McCain (81) amefariki dunia akiwa na miaka 81 kwa ugonjwa hatari wa  saratani ya ubongo iliyokuwa inasababisha uvimbe kwenye kichwa chake tangu mwanzoni mwa mwaka 2017. …The post Aliyekuwa mpinzani mkubwa wa Barack Obama kwenye siasa za Marekani, Seneta John McCain amefariki dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E