Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Aliyekuwa rais wa Brazil Michel Temer atiwa mbaroni kwa tuhuma za Ufisadi (+ Video)

Friday 22-03-2019 09:00:11am Bongo5


Rais Mstaafu wa Brazil, Michel Temer ametiwa mbaroni jijini Sao Paulo kwa tuhuma za rushwa na ufisadi. Mstaafu huyo alitiwa mbaroni baada ya kinga aliyokuwa nayo ya kutoweza kushtakiwa akiwa Rais anayehudumu kuisha ambapo alikuwa Rais toka mwaka 2016 mpaka 2018.Mara baada ya kuondoka madarakani ofisi za mwendesha mashtaka wa Serikali walianza uchunguzi wa tuhuma …The post Aliyekuwa rais wa Brazil Michel Temer atiwa mbaroni kwa tuhuma za Ufisadi (+ Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E