🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 27-05-2019 09:00:04pm Bongo5
Aliyekua Mbunge wa Singida Kaskazini na Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu amekamatwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa katika kikao cha ndani cha Chadema kwenye kata ya Itaja, wilaya ya Singida vijijini mkoani Singida. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na CHADEMA zinaeleza kuwa, Nyalandu amekamatwa na watu wanaodhaniwa ni TAKUKURU …The post Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu akamatwa na watu wasiojulikana appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E