Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Apigwa faini milioni 15 kwa kurusha sarafu kwenye injini ya ndege, mwenyewe adai alijipima shabaha

Friday 15-03-2019 09:00:03pm Bongo5


Abiria mmoja wa ndege nchini China, amepigwa faini ya Euro 5,600 sawa na Tsh milioni 15 za Kitanzania kwa kosa la kurusha sarafu kwenye injini ya ndege ya abiria. Abiria huyo aliyetambulika kwa jina la Li, alirusha sarafu mbili (2 Coins) wakati akiwa kwenye ngazi akipanda ndege hiyo, ya shirika la ndege la Shenzhen Airlines …The post Apigwa faini milioni 15 kwa kurusha sarafu kwenye injini ya ndege, mwenyewe adai alijipima shabaha appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E