Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Apple wakiri mauzo ya iPhone kuporomoka duniani, Wachina watupiwa lawama

Monday 07-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Hatimaye kampuni ya Apple imetoa taarifa rasmi juu ya ripoti ya mwaka jana 2018, ambayo ilieleza kuwa mauzo ya iPhone yameshuka duniani. Taarifa hiyo imeeleza kuwa Apple imeshusha kiwango cha matarajio ya mapato kwa robo ya kwanza ya mwaka 2019 kutoka kiasi cha dola za Marekani bilioni $89 na biloni $93 kwa mwaka 2018, hadi …The post Apple wakiri mauzo ya iPhone kuporomoka duniani, Wachina watupiwa lawama appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E