Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Askari Polisi afia Bar akiwa tungi kichwani, wahudumu waeleza kilichomsibu dakika za mwisho

Friday 15-03-2019 09:00:03am Bongo5


Askari Polisi mmoja mkoani Ruvuma, amekutwa amekufa kwenye Bar ya Friend’s Pub  iliyoko katikati ya mji wa Songea huku ikielezwa kuwa alikuwa amekunywa pombe kupita kiasi. Akizungumza na waandishi wa habari jana Machi 15, 2019 ofisini kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma,  Simon Marwa, alimtaja askari polisi aliyekutwa amekufa kuwa ni Konstebo Donald Motoulaya (29), ambaye ni …The post Askari Polisi afia Bar akiwa tungi kichwani, wahudumu waeleza kilichomsibu dakika za mwisho appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E