🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 24-08-2019 09:00:02am Bongo5
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amefanikiwa kutetea tena nafasi yake ambapo ataliongoza Kanisa hilo kwa kipindi kingine cha miaka 4 ijayo kufuatia uchaguzi uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Makumira kilichopo Usariva nje kidogo ya Jiji la Arusha. Askofu Dkt. …The post Askofu Shoo achaguliwa tena kuliongoza kanisa la KKKT kwa miaka 4 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E