Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Baada ya kuweka rekodi ya usajili Man City, ni mwendo wa bata kwa Riyad Mahrez (+Picha)

Wednesday 11-07-2018 09:00:02pm Bongo5


Mchezaji mpya wa Manchester City, Riyad Mahrez ameonekana katika mitaa akila bata na familia yake ikiwa imepita saa chache toka kusajiliwa na klabu hiyo kwa kitita cha fedha kilichoweka rekodi kwenye historia ya timu hiyo. Rasmi Manchester City yamsajili, Riyad Mahrez kwa rekodi ya klabu Kiungo huyo wa kimataifa wa Algeria, Mahrez amekamilisha usajili wa pauni milioni 60 .The post Baada ya kuweka rekodi ya usajili Man City, ni mwendo wa bata kwa Riyad Mahrez (+Picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E