🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 19-09-2018 09:00:02pm Bongo5
Msanii wa Bongo Fleva na diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini (ACT) Crayton Chipando maarufu kama Baba Levo ameachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Kigoma. Baba Levo alikuwa akikabiliwa na mashtaka matatu ya kushambulia, kufanya vurugu na lugha ya matusi dhidi ya muuguzi, Christina Gervas wa Zahanati ya Msufini. Baba Levo akiwa mahakamani kwa …The post Baba Levo aachiwa huru na mahakama appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E