Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

BASATA wafunguka ishu ya kumtaka Diamond alipie kibali cha kuhudhuria birthday ya Tiffah SA

Saturday 04-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limekanusha taarifa zilizosambaa mtandaoni kwamba wamemtaka Diamond kwenda kulipia kibali cha kusafiri kwenda Afrika Kusini kwenye birthday ya mtoto wake Tiffah. Diamond akiwa na mtoto wake Tiffah. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja iliyopita baraza hilo kutangaza sheria mpya zinazowakata wasanii kuomba vibali wanapotaka kwenda nje ya nchi kwaajili …The post BASATA wafunguka ishu ya kumtaka Diamond alipie kibali cha kuhudhuria birthday ya Tiffah SA appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E