Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Bilionea Aliko Dangote ateswa na mapenzi ‘nakosa muda ila natafuta mwanamke’

Friday 13-07-2018 09:00:02am Bongo5


Tajiri namba moja barani Afrika, Aliko Dangote amesema kuwa ingawaje umri wake umeenda na yupo bize na masuala ya biashara lakini bado anahitaji mke wa kuishi naye. Dangote akihojiwa na gazeti la Financial Times (FT) amesema kwa sasa ana miaka 60 na yupo bize sana hawezi kutafuta mwanamke lakini akijitokeza wa kumuoa basi atafanya hivyo. .The post Bilionea Aliko Dangote ateswa na mapenzi ‘nakosa muda ila natafuta mwanamke’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E