Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Bomu lalipuka katikati ya jiji la Nairobi, hofu yatawala Kenya

Sunday 27-01-2019 09:00:02am Bongo5


Shambulizi la bomu limetekelezwa katikati ya jiji la Nairobi jana Jumamosi usiku na kujeruhi watu wawili, hii ni kwa mujibu wa polisi nchini humo. Mashuhuda wanasema kuwa bomu hilo limelipuka katika eneo la Odeon, ambapo wamedai kuwa bomu hilo lilifichwa ndani ya begi na kutelekezwa kwenye mkokoteni. Kamanda wa Polisi mjini Nairobi, Philip Ndolo akiongea …The post Bomu lalipuka katikati ya jiji la Nairobi, hofu yatawala Kenya appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E