Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Brazil yageukia mamilioni ya nchi za G7, yasema sasa ipo tayari kuyapokea

Wednesday 28-08-2019 09:00:05am Bongo5


Brazil imesema jana kwamba iko tayari kupokea msaada wa kigeni wa kusaidia kuzima moto katika msitu wa Amazon, lakini ikiwa itaweza kuamua jinsi ya kuzitumia fedha hizo. Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa rais Rega Barros, kufuatia magavana wa majimbo ya eneo la Amazon nchini Brazil kumwambia Rais Jair Bolsonaro kuwa fedha hizo zinahitajika kuzima …The post Brazil yageukia mamilioni ya nchi za G7, yasema sasa ipo tayari kuyapokea appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E