🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 23-04-2019 09:00:03pm Bongo5
Idadi ya watu isiyojulikana wamefukiwa na kifusi kwenye machimbo ya moram yaliyopo eneo la Moshono mkoani Arusha. Juhudi za uokoaji bado zinaendelea. Akizungumza na ITV Kamanda wa Polisi Jijini Arusha Jonathan Shana amesema kwamba juhudi za kuokoa waliofukiwa zinaendelea ambapo wamefanikiwa kuokoa watu wawili na kukimbizwa kwenye hospitali ya Mount Meru kwa matibabu. Kamanda Shana …The post BREAKING NEWS: Idadi ya watu isiyojulikana wafukiwa na kifusi kwenye machimbo ya moram jijini Arusha appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E