🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 25-08-2019 09:00:02pm Bongo5
Klabu ya Simba kutoka Tanzania imetolewa kwenye michuano ya Klabu bingwa barani Afrika kwa kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya UD Songo ya nchini Msumbiji. Mechi hiyo iliyochezwa leo Agosti 25, 2019 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, UD Songo ndiyo waliokuwa wa kwanza kutikisa nyavu za Simba kupitia kwa nahodha wake …The post BREAKING: Simba SC watupwa nje michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yaungana na vijana wa Kinondoni KMC appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E