🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 27-03-2019 09:00:04am Bongo5
Bunge la Ulaya wiki hii limepitisha maboresho ya Sheria ya Hakimiliki ambayo yatasababisha mabadiliko makubwa katika matumizi ya internet, yakinufaisha wabunifu kama wasanii na kampuni za habari, huku yakiumiza wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Google, ambayo inamiliki YouTube. Licha ya kuwepo mjadala mkali, wabunge wa Jumuiya ya Ulaya wanaoendelea na kikao jijini Strasbourg, waliishia …The post Bunge la Ulaya lapitisha sheria ya ‘Online copyright’, YouTube yatajwa kuathiriwa zaidi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E