Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Burhan kiongozi mpya Sudan, Waziri mkuu kuapishwa baadaye 

Thursday 22-08-2019 09:00:03am Bongo5


Kiongozi wa jeshi Luteni Jenerali Abdel Fattah Abdelrahman Burhan ameapishwa kuwa kiongozi mpya wa Sudan. Wanachama wa Baraza jipya tawala, ambalo litaongozwa na Burhan, pia wameapishwa katika mji mkuu Khartoum. Hafla hiyo imefanyika saa chache baada ya Baraza la Mpito la Kijeshi na vuguvugu la upinzani linalopigania demokrasia nchini humo kuunda baraza tawala lenye wanachama …The post Burhan kiongozi mpya Sudan, Waziri mkuu kuapishwa baadaye  appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E