Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Burna Boy awachana waandaaji wa tamasha la Coachella ‘mmenikosea, mimi ni msanii mkubwa Afrika’

Friday 04-01-2019 09:00:02pm Bongo5


Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Burna Boy ameamua kuwatolea uvivu waandaaji wa Tamasha maarufu duniani la Coachella akidai kuwa hawajamtendea haki namna walivyoandikwa jina lake. Burna Boy Burna Boy kupitia ukurasa wake wa Instagram, amesema kuwa yeye ni msanii mkubwa hapa Afrika lakini anashangazwa jina lake kuandika na maandishi madogo na kuchanganywa na wasanii wengine …The post Burna Boy awachana waandaaji wa tamasha la Coachella ‘mmenikosea, mimi ni msanii mkubwa Afrika’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E