đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 06-12-2018 09:00:02pm Swahili Times
Serikali ya Burundi imeliagiza Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kufunga ofisi zake na kuondoka nchini humo ndani ya kipindi cha miezi miwili. Burundi ilitoa notisi hiyo jana Jumatano ambayo ilieleza ofisi hizo zinatakiwa kufungwa ndani ya miezi miwili, na watumishi wote wa kimataifa kuondoka Bujumbura. Nchi hiyo ilisitisha ushirikiano na ofisi ya haki za binadamu tangu mwaka 2016, ikiituhumu kwamba imekuwa ikiandaa ripoti zisizo na ukweli ambazo zinaonesha kuwa nchi hiyo imekumbwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Burundi imekumbwa na sitofahamu ya kisiasa tangu Aprili 2015 wakati Rais Pierre Nkurunziza alipotangaza mabadiliko ya katiba . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E