🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 04-12-2018 09:00:02pm Bongo5
Mwanamitindo wa kiume Tanzania, Callisah ameibuka mshindi wa Mister Africa International 2018 katika mashindano yaliyofanyika nchini Nigeria. Shindabo hilo lilifanyika mwishoni mwa Wiki iliyopita nchini Lagos, Nigeria na kushirikisha washiriki kutoka nchi mbali mbali za Afrika Kama vile Lesotho, Nigeria, Ghana, Cameroon na nyinginezo. Nchi zilizomfuatia na nafasi walizoshika ni : 1.Tanzania 2.Sierra Leone 3.Nigeria …The post Calisah ashinda tuzo ya Mister Africa International 2018 Nigeria appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E