Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

CCM yatangaza mwisho wa kuwapokea wabunge wa upinzani

Monday 08-10-2018 09:00:03am Swahili Times


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema wabunge wa upinzani wanaotaka kujiunga na chama hicho mwisho wa kufanya hivyo ni Disemba, 2018. Humphrey Polepole ametoa kauli hiyo Jumapili Oktoba 7, 2018 kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter ambapo ameeleza kuwa, mwaka 2018 ndio mwisho wa chama hicho kufanya chaguzi ndogo za ubunge, hivyo wale watakaoshindwa kuhamia CCM hadi mwaka huu kumalizika wabaki walipo na watakutana kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020. “Tumezingatia na tunaweka jitihada zetu zote katika kushughulika na utatuzi wa shida za watu wetu wa Tanzania. Mwaka 2018 ndiyo mwisho . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E