🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 31-07-2018 09:00:03am Bongo5
Mbunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Julius Kalanga jana Julai 30, 2018 usiku ametangaza kujihami Chama hicho na kujiunga na CCM . Kalanga ametangaza uamuzi huo usiku mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole. Akieleza sababu za kuhamia CCM, Kalanga amesema kuwa hataki kuwa kikwazo cha wananchi …The post CHADEMA yapata pigo lingine, Mbunge wa Jimbo analotoka Mhe. Lowassa ahamia CCM usiku wa manane appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E