🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 30-06-2018 09:00:02pm Bongo5
Klabu ya Chelsea imekataa ofa ya pauni milioni 50 kutoka kwa Barcelona kunasa saini ya kiungo wa timu hiyo Willian. Mchezaji huyo raia wa Brazil amehusishwa kutimka Stamford Bridge kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa. Willian mwenye umri wa miaka 29, amekuwa pia akiwindwa na klabu ya Manchester United wakati huo huo Barcelona ikihitaji huduma .The post Chelsea waichomolea Barcelona kwa Willian appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E