🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 20-03-2019 09:00:02pm Bongo5
Clouds Media Group mwaka huu imepata pigo zito baada ya kuondokewa na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, ndugu Ruge Mutahaba. Wakiwa bado na machungu ya kuombeleza msiba huo mzito ndani ya kampuni hiyo, waliondokewa tena na mtangazaji mahiri wa kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde ambaye alifariki siku chache baada ya kumzika Ruge. Bongo5 imekuandalia mambo …The post Clouds waanza maisha mapya bila Ruge na Kibonde, haya ni mambo matano yatakayowabeba (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E