🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 25-10-2018 09:00:02pm Bongo5
Imearifiwa kuwa zaidi ya Nati 30 za Daraja Jipya la Magufuli Wilayani Kilombero zimeng’olewa huku watu watatu wakishikiliwa kwa upelelezi. Kufuatia tukio hilo, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Stephen Kebwe ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Ulanga na Kilombero kuendelea kuwashikilia watu hao hadi uchunguzi utakapokamilika. Daraja la Mto Kilombero lilizinduliwa na Rais Dkt. …The post Daraja jipya la Magufuli wilayani Kilombero lang’olewa nati, watu watatu washikiliwa kwa upelelezi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E