🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 25-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Msanii Diamond Platnumz amezitupilia mbali tofauti zake zilizokuwepo kati yake yeye na msanii mwenzake Ommy Dimpoz katika wakati huu mgumu kwa Ommy Dimpoz na kumuombea apone mapema ili aweze kurudi katika hali yake ya mwanzo. Diamond ameutumia ukurasa wake wa Instagram kupost picha ya Omary na kumuombea apone mapema licha ya tofauti zao ambazo zipo …The post Diamond aziweka tofauti zake pembeni na Ommy Dimpoz katika hili appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E