Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Diamond Platnumz aachia wimbo wake mpya ‘INAMA’ aliyomshirikisha Fally Ipupa, Drogba na Eto’o watajwa

Friday 03-05-2019 09:00:03pm Bongo5


Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameachia wimbo wake mpya wa INAMA aliyomshirikisha Fally Ipupa kutoka DR Congo. Wimbo huu umetengenezwa na Lizer kutoka Wasafi Records na ni moja ya kolabo za Diamond Platnumz ambazo zilikuwa zinasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wa muziki. Hii ngoma ilirekopdiwa mwaka 2016 wakati wawili hao walipokutana barani Ulaya, …The post Diamond Platnumz aachia wimbo wake mpya ‘INAMA’ aliyomshirikisha Fally Ipupa, Drogba na Eto’o watajwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E