🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 25-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atamwakilisha Rais Magufuli nchini Zimbabwe kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Taifa hilo, Emmerson Mnangagwa. Sherehe hizo zitakazofanyika kesho Jumapili Agosti 26, 2018 zinatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wakubwa barani Afrika Afrika wakiwemo Marais wa nchi mbalimbali.The post Dkt. Jakaya Kikwete kumwakilisha Rais Magufuli nchini Zimbabwe appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E