Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Dogo aliyeomba pambano na Floyd Mayweather ‘Money Man’ akiona chamoto ulingoni (+video)

Monday 31-12-2018 09:00:03pm Bongo5


Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather maarufu kama ‘Money Man’ ameibuka na ushindi baada ya kumpiga vibaya Mjapan, Tenshin Asukawa kwenyepambano la ngumi lililofanyika nchini Japan. Kwenye pambano hilo Mayweather aliandaliwa kitita cha dola za Kimarekani milioni tisa kwaajili ya kuzipiga na Tenshin Nasukawa pambano la raundi tatu. Mara baada ya pigano hilo Mayweather amewashukuru mashabiki …The post Dogo aliyeomba pambano na Floyd Mayweather ‘Money Man’ akiona chamoto ulingoni (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E