🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 16-03-2019 09:00:02am Bongo5
Mkurugenzi wa mashtaka nchini Biswalo Mganga amefuta kesi namba 8/2018 ya mauaji ya Jackson Thomas iliyokuwa ikiendelea kwenye mahakama ya Tabora baada ya kubaini watuhumiwa Mussa Adam Sadick na Edward Matiku Nduli walibambikiwa mashtaka hayo kinyume cha sheria. Hatua hiyo inafikiwa baada ya mmoja wa watuhumiwa Mussa Adam Sadick kuandika barua ya wazi na kuomba …The post DPP afuta kesi ya mauaji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara wa Tabora kwa madai alibambikiwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E