Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Dudubaya anashikilwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano kuhusu matumizi mabaya ya mtandao

Thursday 28-02-2019 09:00:02pm Bongo5


Msanii na mlongwe wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini almaarufu Dudu baya anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay Jijini Dar Es Salaam. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Mwananchi, Kamanda wa Polisi Kinondoni Mussa Taibu amesema Msanii huyo anashikiliwa kwa ajili ya mahojiano. Ikumbukwe jana Waziri mwenye dhamana ya Habari Dkt. Harison …The post Dudubaya anashikilwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano kuhusu matumizi mabaya ya mtandao appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E