🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 17-03-2019 09:00:03am Bongo5
Jana klabu ya Simba imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali kwa kuichakaza AS Vita ya DR Congo goli 2-1, na kuungana na klabu nyingine 7 kutoka mataifa mbali mbali. Klabu ambazo zimeungana na Simba SC ni Espérance Tunis (Tunisia), CS Constantine (Algeria), TP Mazembe (DR Congo), Horoya AC (Guinea), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), Wydad Athletic …The post FAHAMU: Timu 7 zilizoungana na Simba SC kufuzu hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E