🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 12-03-2019 09:00:03pm Bongo5
Anaitwa Yared Getachew Mulugetandie alikuwa Rubani wa ndege Ethiopian airlines iliyoanguka jana ambayo ilikuwa inatoka uwanja wa Addis Ababa kuelekea Nairobi. Mulugeta alianza urubani toka mwaka 2010. Inaelezwa ndugu Mulugeta alipambana kurudisha ndege uwanjani baada ya hitlafu ya ndege ila ilishindikana na kuanguka. Ndege hiyo iliyoanguka jana ili nunuliwa Miezi minne(4) iliyopita. Abiria wote 149 …The post Fahamu wasifu wa Rubani wa Ndege ya Ethiopia, Iliyoanguka wakati ikielekea Nairobi Kenya (+ Picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E