🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 11-02-2019 09:00:03pm Bongo5
Msanii wa muziki kutoka DR Congo, Fally Ipupa ameendelea kuwaburuza wasanii wenzake wa muziki kutoka Afrika Mashariki na Kati kwa video zake kutuzamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube. Fally Ipupa kwa sasa ndiye msanii pekee Afrika Mashariki na Kati, ambaye video zake za nyimbo mbili kwenye mtandao wa YouTube zimetazamwa mara milioni 50 (views 50M). …The post Fally Ipupa aendelea kuwaburuza wasanii wa muziki Afrika Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E