Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Hapatoshi kombe la dunia ni Uruguay dhidi ya Ufaransa huku Brazil na Ubelgiji

Friday 06-07-2018 09:00:02am Bongo5


Michuano ya kombe la dunia inatarajiwa kuendelea hii leo kwa hatua ya robo fainali huko nchini Urusi baada ya kupita mapumziko ya siku mbili. Leo siku ya Ijumaa timu nne zitashuka dimbani kuwakilisha nchi zao katika kuwani nafasi ya kutwaa kombe hilo wakati bingwa mtetezi Ujerumani akiwa tayari ameshafungashiwa virago mapema kwenye hatua za awali. .The post Hapatoshi kombe la dunia ni Uruguay dhidi ya Ufaransa huku Brazil na Ubelgiji appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E