Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Harmonize aitikisa Kisumu, Wakenya wasema haijawahi kutokea show kali kama aliyofanya (+videos)

Saturday 25-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Harmonize ameutikisa mji wa Kisumu nchini Kenya kwa show kali iliyofanika usiku wa kuamkia leo ambapo maelfu ya watu walihudhuria kwenye show hiyo. Kwenye video ya show hiyo baadhi ya wadau wa muziki wakiwemo wanawake walisikika wasichana wakisema kuwa haijawahi kutokea mjini Kisumu show kali kama hiyo.The post Harmonize aitikisa Kisumu, Wakenya wasema haijawahi kutokea show kali kama aliyofanya (+videos) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E