🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 19-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, Erick Kabendera (39), anayekabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kutakatisha fedha zaidi ya Tsh milioni 173, Leo Agosti 19, 2019 amerudishwa rumande hadi Agosti 30 mwaka huu kesi yake itakapotajwa tena. Shauri hilo limetajwa leo Jumatatu Agosti 19, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Augustine Mmbando …The post Haya ndio yaliyojiri mahakamani kwenye kesi inayomkabili Mwandishi wa Habari Erick Kabendera appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E