Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Hii ndio timu iliyoongoza kwa kuingiza mapato mengi ligi kuu Uingereza baada ya ligi kumalizika

Friday 24-05-2019 09:00:02pm Bongo5


Liverpool ilijipatia zaidi ya takriban £152m kutoka kwa ligi ya Uingereza msimu huu ikiwa ni £1.44m zaidi ya mabingwa Manchester City, baada ya kushiriki katika mechi nyingi za moja kwa moja katika mechi zilizopeperushwaa na runinga Uingereza The Reds, ambao walimaliza wa pili katika jedwali la Uingereza wakiwa na jumla ya pointi 97 walionyeshwa wakicheza …The post Hii ndio timu iliyoongoza kwa kuingiza mapato mengi ligi kuu Uingereza baada ya ligi kumalizika appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E