Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye ‘Derby’ ya Panathinaikos dhidi ya Olympiacos (+video)

Monday 18-03-2019 09:00:04pm Bongo5


Vurugu kubwa zimeripotiwa kujitokeza kwenye mchezo wa Derby ya Panathinaikos dhidi ya Olympiakos hapo jana siku ya Jumapili ligi ya Ugiriki maarufu kama Greek Super League baada ya mashabiki wa Panathinaikos kufanya vurugu iliyopelekea hadi askari Polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya. Mashabiki wa Panathinaikos wakiwa nyumbani kwenye dimba lao la  OAKA Stadium walianzisha vurugu …The post Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye ‘Derby’ ya Panathinaikos dhidi ya Olympiacos (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E