🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 19-09-2018 09:00:01am Bongo5
Msichana maarufu mitandaoni nchini Kenya, Huddah Monroe amewaonya wasichana wanaomuiga kwa kuposti picha za utupu mitandaoni. Huddah kupitia Snapchat amedai kuwa anafanya hivyo kwa sababu yeye analipwa kutangaza bidhaa za nguo za ndani (bikini) au Hoteli ambayo huwa amefikia kwa muda huo. “Najua wasichana wengi wananiangalia sana kama kioo cha jamii, lakini sidhani kama wengi …The post Huddah Monroe awaonya wasichana wanaomuiga kuposti picha za nusu utupu mitandaoni appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E