🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 06-12-2018 09:00:03am Bongo5
Mahakama mjini Kigali leo inatarajia kutoa uamuzi wake wa mwisho kuhusu kesi dhidi ya mwanasiasa wa upinzani Diane Rwigara na Mamake Adeline Rwigara. Wawili hao wameshitakiwa makosa ya kuchochea vurugu na mgawanyiko miongoni mwa wananchi pamoja na kughushi nyaraka. Kwa mujibu wa BBC, Muendasha mashtaka ameshaomba mahakama kuwapa kifungo cha miaka 22 jela. Walikanusha madai …The post Hukumu ya mwanasiasa wa upinzani Rwanda, Diane Rwigara na Mamake Adeline Rwigara kutolewa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E