🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Sunday 08-07-2018 09:00:02am Swahili Times
Ndege ya Boeing 787-7 Dreamliner ni mojawapo ya ndege toleo la Boeing 787 ambazo zinatengezwa na kampuni ya Boeing Commercial Airplanes ya nchini Marekani ikiwa ni moja ya makampuni makubwa kabisa ya uundaji wa ndege. Ndege hizi zimeundwa kwa safari ndefu na zina engine mbili. Ndege za toleo la 787 pia zimeundwa kuwa na ubora wa asilimia 20 zaidi katika matumizi ya mafuta, tofauti na toleo la awali la 767. Awali waundaji wa ndege hizi walitaka kuzipa jina la 7E7 lakini mwezi Januari 2005 walibadilisha. Ndege ya kwanza katika mlolongo wa 787 ilizinduliwa rasmi Julai 8 2007 huko Everret Washington na kisha . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E