🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 09-02-2019 09:00:02am Bongo5
Kitengo cha Mawasiliano Ikulu, kupitia kwa Mkurugenzi wake, Gerson Msigwa wameutaka Umma kupuuzia taarifa zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa Rais John Magufuli ametengua nafasi ya Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, barua inayosambazwa ni ya kughushi “Fake” na haina ukweli wowote.The post Ikulu yakanusha taarifa ya kumtumbua Balozi wa Tanzania Marekani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E