Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Isome hapa Ripoti ya Uongozi Afrika (2018) iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim

Monday 29-10-2018 09:00:02pm Swahili Times


Taasisi ya Mo Ibrahim (Mo Ibrahim Foundation) kwa miaka 12 sasa imekuwa kichapisha ripoti kuhusu uongozi wa nchi za Afrika ambapo imekuwa ikiangalia katika nyanja zote za kiuchumi, kisiasa na kijamii. Kwa mujibu wa taasisi hiyo, ripoti hizo ambazo hufahamika kama ‘The Ibrahim Index of African Governance (IIAG)’ huwa hazilengi kukosia namna nchi fulani inavyoongozwa, lakini kuibua mijadala ambayo itazisaidia nchi za Afrika kuweza kuwa na uongozi bora zaidi kwa manufaa ya wananchi. Hapa chini ni ripoti ya mwaka 2018. Kwa taarifa zaidi unaweza kutembelea tovuti ya taasisi hiyo kwa kubonyeza hapa Mo Ibrahim Foundation Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E