🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 21-07-2018 09:00:01pm Bongo5
Wiki tatu zilizopita, wanaakiolojia nchini Misri waligundua jeneza kubwa lililoundwa kwa mawe magumu ya matale (granite) ya rangi nyeusi katika mji wa Alexandria. Kwa mujibu wa chombo cha habari cha BBC Jeneza hilo lilikuwa limekaa kwa zaidi ya miaka 2,000 bila kufunuliwa. Uvumi ulianza kueneza upesi, kwamba huenda jeneza hilo lilikuwa na mabaki ya kiongozi …The post Jeneza la ajabu lililokaa chini ya ardhi zaidi ya miaka 2,000 lafunuliwa (+Picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E