Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Jeshi la Polisi nchini Uganda lawaomba radhi wananchi kwa kumpiga Mwandishi wa Habari

Wednesday 22-08-2018 09:00:01am Bongo5


Baada ya video ikiwaonesha Askari Polisi nchini Uganda wakimshushia kichapo Mwandishi wa Habari wa shirika la utangazaji la Reuters nchini humo, James Akena kusambaa mitandaoni. Hatimaye Jeshi hilo limeomba radhi kwa kitendo hicho. Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo IGP Martin Okoth Ochola amesema kuwa Jeshi la polisi kazi yake ni kuhakikisha …The post Jeshi la Polisi nchini Uganda lawaomba radhi wananchi kwa kumpiga Mwandishi wa Habari appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E