🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 10-07-2018 09:00:02am Bongo5
Mwanamieleka maarufu zaidi duniani, John Cena huenda akawa ni moja wa mashabiki wakubwa wa Muigizaji kutoka Bollywood, Shah Rukh Khan hii kutokana na Mara kwa mara kutumia nukuu za mkali huyo wa filamu za kihindi. John Cena ametumia nukuu ya Muigizaji huyo kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuonesha hisia zake na kisha kumshukuru mkali .The post John Cena ampigia saluti muigizaji wa filamu maarufu zaidi duniani, Shah Rukh Khan appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E