🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 07-06-2019 09:00:04am Bongo5
Msanii wa muziki wa Hip hop nchini Uganda Jose Chameleone hapo jana ameamua kufuata nyayo za Bobi Wine kwa kuingia kwenye siasa. Inaelekea umekuwa ni mtindo wa kawaida kwa wanamuziki maarufu kugeuka kuwa wanasiasa. Bobi Wine amekuwa akizingirwa na utata wa kisiasa tangu alipogombea kiti cha ubunge mwaka 2017. Kwa mujibu wa shirika la habari …The post Jose Chameleone aamua kupita nyayo za Bobi Wine ‘Watu wana kiu ya uongozi unaofaa na hawajaupata’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E